Huduma

Halo Laini

Halo Laini ni kifurushi cha malipo ya kabla cha kuanzisha huduma za Halotel chenye faida kubwa, makato ya chini na promosheni kabambe za huduma za...

Intaneti Ya 3G

Intaneti ya 3G ni huduma ambayo inakuwezesha to kutumia intanenti ukiwa na laini ya HALOTEL kwenye simu au kifaa kinachotumia intanenti. Kwa jinsi...

Vifurushi vya usiku

HALOTEL inakuletea kifurushi cha intaneti cha usiku kwa wale wanaodownload sana.

Roaming

Huduma ya Roaming kimataifa ya Halotel ni huduma ambayo inawezesha wateja wetu kuwasiliana wakiwa safarini kimataifa kwa kutumia laini zao na na...

Halo University Pack

Ofa maalum ya mwanachuo ya Halotel ni huduma ya promosheni ambayo inawawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vingine nchini kuendelea kuwasiliana...

Smartphone Bando

Hivi ni vifurushi maalum vya Halotel vinavyomuwezesha mteja kuchagua bando alitakalo kukidhi mahitaji yake kwa gharama nafuu na vinavutia zaidi...

Halo TV

ni huduma inayokuwezesha kufurahia kutazama chaneli Mbali mbali za Televisheni moja kwa moja au kupakua vipande vya video vya kuburudisha kupitia...

Midundo

Konga nyoyo na Muziki! Midundo ni huduma ya muziki ambao hukupa fursa ya kufurahia vitu mbalimbali vya kisanaa kwenye simu yako muda wote na...

Tafadhali Nipigie

Huduma inayokufanya uendelee kuwasiliana! Tafadhali nipigie ni njia ya haraka ya kuwasiliana na mtu wakati unapokuwa huna muda wa maongezi(salio)...

Mpe Salio

Huduma ya Halotel ya kutuma Muda wa maongezi au Ishare inayokupa fursa ya kutuma salio kutoka kwenye salio la akaunti yako kwenda kwa mwingine, na...

Simu Clip

Ni huduma inayo kuwezesha kufurahiya Vipindi mbalimbali vifupi vya Michezo , Vichekesho, Miziki, Katuni, Dansi na Kandanda. Unaweza kupata video...

Halo Beatz

Ni huduma inayokupa fursa ya kuweka Muito/ Miitikio binafsi kuweka kwa wanaokupigia kwa kuchangu Nyimbo mbalimbali. Kama wewe ni mtumiaji wa muito ,...

CUG Package

HALOTEL CUG is group package that provides the most affordable communication platform for business community, corporate groups, family group or...

IPLL Service

Internet Leased Line(IPLL) ni huduma maalumu yenye kasi kubwa ambayo inatolewa kwa kutumia mwanga badala ya waya, ni ya uhakika na haina muingiliwa...

Halopesa

Simu yako ya mkononi ni zaidi ya mawasiliano, ni huduma ya pesa mkononi kwako na inawapa fursa watumiaji wenye simu ya mkononi kuweza kutuma na...

Wakala wa Halopesa

: Your mobile phone is more than just a means of communication; it is also your virtual wallet. Halopesa is a mobile money service brought to you by...

Promosheni

Halotel kupitia huduma Mpya ya Halopesa inakuletea Promosheni yake kwa kupitia HaloPesa kwa kununua muda wa maongezi kwa kupitia halopesa na kupata...