HaloPesa

Simu yako ya mkononi ni zaidi ya njia ya mawasiliano; Pia ni mkoba wako.HALOPESA ni huduma ya pesa kimtandao inayoletwa na Halotel na inampa fursa mtumiaji wa simu kutuma na kupokea pesa haraka ,kwa usalama na rahisi masaa 24/7. Inawapa wafanyabiashara na watu wengine wa aina hii njia rahisi, ya kumudu na kudhibiti na kusimamia malipo pamoja na kutuma pesa kwa njia mbalimbali muda wote na sehemu yoyote. kwa msisitizo, urahisi wa HALOPESA unalenga kuimaarisha na kutoa suluhisho la changamoto ya kiusalama.

Jinsi ya kujiunga Huduma

Kujiunga na HALOPESA ni rahisi sana, Temebelea leo duka lolote la wakala au la Halotel na vitu vifuatavyo:

1. Tembelea wakala yeyote aliye idhinishwa au duka la HALOPESA na usajiliwa .

2. Mpatie kitambulisho chako upate kusajiliwa.

3. Utapokea ujumbe kuthibitisha usajili wako.

 4. Unaweza kuwezesha huduma

5. Sasa unaweza kutumia huduma ya HALOPESA

Nani anaweza kutumia huduma ya HALOPESA?

1.    Watu

2.     Biashara ndogo na kubwa

3.     W\auzaji rejareja

 4.    Taasisi

Huduma ya HALOPESA

  • Kuweka pesa
  • Kutoa pesa
  • Kutuma  pesa  kwa mteja yeyote wa mtandao wwote Tanzania
  • Kununua muda wa mongezi
  • Kulipia  Luku, DAWASCO, Zuku, DSTV na Startimes 
  • Kubadili nywila
  • Kuangalia salio
  • Kuangalia taarifa ya miamala

Jinsi ya kutumia huduma

Unaweza kutuma na kupokea pesa muda wowote na mahali popote  Tanzania.HALOPESA inakuwezesha kutuma pesa kwa usalama na haraka kwa wateja wa HALOTEL.

Fuata maelekezo yafutayo kutuma pesa:

      ·         Piga *150*88#

      ·         Chagua 1:  Kutuma pesa

      ·         Chagua  njia

      ·         Tuma kwenda namba ya simu

      ·         Tuma kwenda namba ya bank

      ·         Hamisha kutoka Bank

      ·         Tuma kwa mitandao mingine.


Chagua 1 namba ya simu

Piga *150*88#

Hatua 1: Chagua 1 Kutuma pesa

Hatua 2: Chagua 1 weka namaba ya simu 

Hatua 3: Ingiza namba ya simu

Hatua 4: Weka kiasi

Hatua 5: Weka yaliyomo

Hatua 6: Weka namba ya siri

Hatua 7: Thibitisha muamala

Utapokea meseji  ya uthibitisho wa kufanikiwa kutuma pesa kwa namba uliyoweka .

 

Kutoa pesa

Mara unapoweka pesa kwenye akaunti yako ya Halopesa, unaweza kufuata maelekezo yafuatayo ili kutoa pesa.

Piga *150*88#

Hatua 1: Chagua 2 : Kutoa

Hatua 2: Chagua 1 kutoka kwa wakala

Hatua 3: Ingiza code ya wakala

Hatua 4: weka  kiasi

Hatua 5: Weka nywila

Hatua 6: Thibitisha muamala

Utapokea ujumbe wa kuidhinisha kutoa pesa kutoka kwa wakala uliyemchagua.

 

Jinsi ya kununua muda wa maongezi kwa HALOPESA

Ingia huduma ya malipo kabla kwenye akaunti yako. Nunua muda wa maongezi kwa ajili yako na wengine. Unaweza kununua muda wa maongezi kwa haraka na rahisi kwa kutumia akaunti ya HALOPESA. Rahisi fanya yafuatayo.

Piga *150*88#

Hatua 1: Chagua 3 kununua muda wa maongezi

Hatua 2: Chagua kununua kwenye namaba yangu

Hatua 3: Weka kiasi

Hatua 4: Weka namba ya siri

Hatua 5: Thibitisha muamala

Utapokea SMS ya kuidhinisha kununua muda wa maongezi kwa kiwago cha pesa ulichochagua.

 

Gharama za huduma

Gharama za HALOPESA zitategemea na kiwango cha pesa unazotuma au kutoa.

Unaweza kutumia  orodha ya HALOPESA kununua muda wa maongezi kwenye simu yako  au kwa ajili ya mwingine.Huduma hii ni bure na utalipia tu muda wa maongezi ulionunua.

 

ADA ZA WATEJA

Limitation (TSH)

Ada

Kutoka

Kwenda

Tuma kwa mteja aliyesajiliwa

Kutoa pesa

Tuma kwa mteja asiyesajiliwa

100

999

8

NA

NA

1,000

1,999

18

275

350

2,000

2,999

25

295

380

3,000

3,999

35

375

475

4,000

4,900

45

400

530

5,000

5,999

70

550

710

6,000

7,999

80

680

790

8,000

9,999

85

680

825

10,000

19,999

200

1,000

1,250

20,000

29,999

260

1,200

1,550

30,000

39,999

280

1,300

1,620

40,000

49,999

280

1,500

1,800

50,000

99,999

420

1,800

2,350

100,000

199,999

460

2,200

2,750

200,000

299,999

620

3,300

4,200

300,000

399,999

850

4,300

5,600

400,000

499,999

950

5,300

6,600

500,000

599,999

1,300

5,600

7,500

600,000

699,999

1,400

6,000

7,600

700,000

799,999

1,400

6,100

7,650

800,000

899,999

1,600

6,350

8,100

900,000

1,000,000

1,750

6,500

8,300

1,000,001

3,000,000

3,500

6,800

NA