HaloYako

HaloYako ni huduma ya utunzaji wa fedha kupitia simu yako ya mkononi inayoletwa na Halotel ikishirikiana na benki ya FINCA. Kupitia huduma ya HaloPesa mtumiaji wa Halotel anapata fursa ya kuweka akiba ya fedha kwa urahisi, kwa haraka, kwa usalama, bila gharama yoyote, wakati wowote na popote. Huduma ya HaloYako inawawezesha watumiaji wote wa Halotel nchini kufikia mipango yao kiganjani mwao.

Jinsi ya kuwezesha HaloYako:

Kuwezesha HaloYako ni rahisi sana, fuata maelekezo yafuatayo:

1.     Piga *150*88#.

2.     Chagua 5 (HaloYako).

3.     Chagua Lugha (Kiswahili au kiingereza).

4.     Chagua 1 (Sajili HaloYako).

5.     Chagua 1 (Soma vigezo na masharti).

6.     Chagua 8 (kubali vigezo na masharti).

7.     Chagua 1 kama umesaidiwa na wakala au 2 kama umesaidiwa na wakala.

8.     Ingiza namba ya wakala (Kama umesaidiwa na wakala).

9.     Ingiza namba yako ya siri. (Namba yako ya siri ya HaloPesa).

10.   Utapata ujumbe umewezesha huduma ya HaloYako.

Jinsi ya kuweka Pesa kwenye Halo Akiba:

1.     Piga *150*88#.

2.     Chagua 5 (HaloYako).

3.     Chagua 1 (Halo Akiba).

4.     Chagua 1 (Weka akiba).

5.     Ingiza kiasi unachoweka.

6.     Chagua 1 (Thibitisha).

7.     Ingiza namba ya siri.

8.     Utapata ujumbe kuthibitisha kiasi ulichoweka na salio lako la Halo Akiba.

Jinsi ya kujiwekea lengo:

1.     Piga *150*88#.

2.     Chagua 5 (HaloYako).

3.     Chagua 2 (Akiba Malengo).

4.     Chagua 1 (Endelea).

5.     Chagua  1 (Jiwekee lengo).

6.     Ingiza jina la lengo.

7.     Chagua muda wa lengo.

8.     Ingiza kiasi.

9.     Chagua 0 (Endelea).

10.   Ingiza namba ya siri.

11.   Utapokea ujumbe ukielezea lengo ulilojiwekea.

Jinsi ya kuangalia salio la Halo Akiba:

1.     Piga *150*88#.

2.     Chagua 5 (HaloYako).

3.     Chagua 1 (Halo Akiba).

4.     Chagua 4 (Salio).

5.     Ingiza namba ya siri.

6.     Utapata ujumbe wa salio lako la Halo Akiba.

 

Jinsi ya kuangalia salio la Akiba Malengo:

1.     Piga *150*88#.

2.     Chagua 5 (HaloYako).

3.     Chagua 2 (Akiba Malengo).

4.     Chagua 6 (Angalia Salio).

5.     Chagua Lengo.

6.     Ingiza namba ya siri.

7.     Utapata ujumbe wa salio la lengo ulilochagua.

Nani anaweza kutumia huduma ya HaloYako?

Kutumia huduma ya HaloYako ni lazima:

1.     Mteja awe na miaka 18 na kuendelea.

2.     Awe mteja wa Halotel aliesajili HaloPesa.