Huduma

SUPERHALO

Furahia vifurushi visivyo na ukomo wa muda. =Tumia hadi bando liishe

ROYAL BANDO

Ishi Kifalme! Ukiwa na huduma ya Royal utafurahia vyote unavyohitaji.

Vifurushi vya EDU

Vifurushi vya EDU vinampa mteja dakika, sms na MB nyingi Zaidi za kufurahia apendavyo.

Chipsi bando

Hivi ni vifurushi maalum vya Halotel vinavyomuwezesha mteja kuchagua bando alitakalo kukidhi mahitaji yake kwa gharama nafuu na vinavutia zaidi...

Vifurushi vya usiku

HALOTEL inakuletea kifurushi cha intaneti cha usiku kwa wale wanaodownload sana.

Halo University Pack

Ofa maalum ya mwanachuo ya Halotel ni huduma ya promosheni ambayo inawawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vingine nchini kuendelea kuwasiliana...

ISHIKISTAA

Ishikistaa ni huduma inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kuweza kucheza kwa kujibu maswali mbalimbali na kuweza kujishindia zawadi ya pesa taslimu hadi...

Mpe Salio

Huduma ya Halotel ya kutuma Muda wa maongezi au Ishare inayokupa fursa ya kutuma salio kutoka kwenye salio la akaunti yako kwenda kwa mwingine, na...

Halo Beatz

Ni huduma inayokupa fursa ya kuweka Muito/ Miitikio binafsi kuweka kwa wanaokupigia kwa kuchangu Nyimbo mbalimbali. Kama wewe ni mtumiaji wa muito ,...

MCA

MCA ni huduma inayomuwezesha mteja kufahamu na kupata taarifa za Simu zote alizozikosa pindi simu yake imezimwa au imekosa mtandao.

Halo Saini

HALO SAINI ni huduma inayokuwezesha kuweka maneno yenye Hisia au ya watu maarufu kama Saini yako pindi unapowapigia/wanapokupigia.

SOKA

SOKA ni huduma inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kuweza kucheza kwa kujibu maswali mbalimbali yanayohusu soka na kuweza kujishindia zawadi ya pesa...

CUG Package

HALOTEL CUG is group package that provides the most affordable communication platform for business community, corporate groups, family group or...

IPLL Service

Internet Leased Line(IPLL) ni huduma maalumu yenye kasi kubwa ambayo inatolewa kwa kutumia mwanga badala ya waya, ni ya uhakika na haina muingiliwa...

OFA MAALUM

Pata OFA MAALUM iliyojaa dakika, sms na MB nyingi Zaidi za kufurahia apendavyo.

HaloPesa

Simu yako ya mkononi ni zaidi ya mawasiliano, ni huduma ya pesa mkononi kwako na inawapa fursa watumiaji wenye simu ya mkononi kuweza kutuma na...

Wakala wa Halopesa

: Your mobile phone is more than just a means of communication; it is also your virtual wallet. Halopesa is a mobile money service brought to you by...

Promosheni

Halotel kupitia huduma Mpya ya Halopesa inakuletea Promosheni yake kwa kupitia HaloPesa kwa kununua muda wa maongezi kwa kupitia halopesa na kupata...

Ajira

Job vacancy for a Compliance Officer. The Compliance Officer is tasked to monitor and report results of the compliance/ethics efforts of the company...

HaloYako

HaloYako ni huduma ya utunzaji wa fedha kupitia simu yako ya mkononi inayoletwa na Halotel ikishirikiana na benki ya FINCA. Kupitia huduma ya...