IPLL Service

 

- Utangulizi

Internet Leased Line(Ipll) ni huduma maalumu yenye kasi kubwa ambayo inatolewa kwa kutumia mwanga badala ya waya, ni ya uhakika na haina muingiliwa na hatari yoyote ya kimtandao ndani na nje ya huduma.

IPLL inakupa huduma ya uhakika kwasababu inafika moja kwa moja kwa mtumiaji bila mwingiliano wowote moja kwa moja kutoka kwenye BTS  na kwahiyo  ni yenye kasi kubwa.

- Faida ya IPLL:                                                                                                                         

Ina kasi kubwa ya kusafu: Ina spidi tofauti tofauti kulingana na mahitaji kuanzia 1Mbps na kuendelea.

Ina ulinzi wa hali ya juu na isiyoweza kudukuliwa: Kwasababu ni huduma maalum.

Mitambo ya Faiba optic katika miji yote mikubwa Burundi kwa sasa.

Watoa huduma wetu wanatoa huduma masaa ishirini na manne.

- Ni yupi mhitaji wa huduma ya IPLL

Wale wote wenye maofisi na majengo yaliyosambaa kote Burundi.

Wale wote wenye uhitaji wa Intanet ya uhakika na isiyosumbua.

Makampuni makubwa, mabenki, na ofisi za serikali.

- Gharama:

1. Gharama za awali (USD)

Umbali

<=500 Metres

500-1,000 Metres

>1,000-1,500 Metres

>1,500-2,000 Metres

Gharama za kuweka

BURE

Gharama za kuweka kebo

500 USD

1,000 USD

1,500 USD

2,000 USD

2. Malipo kwa mwezi (USD)

Spidi

Malipo kwa Mwezi

Malipo kwa Miezi 6 na punguzo la 10%

Malipo kwa Miezi 12 na punguzo la 15%

Malipo kwa Miezi 24 na punguzo la 20%

1 Mbps

230

1,242

2,346

4,416

2 Mbps

450

2,430

4,590

8,640

3 Mbps

600

3,240

6,120

11,520

4 Mbps

750

4,050

7,650

14,400

5 Mbps

900

4,860

9,180

17,280

6 Mbps

1,080

5,832

11,016

20,736

7 Mbps

1,190

6,426

12,138

22,848

8 Mbps

1,290

6,966

13,158

24,768

9 Mbps

1,380

7,452

14,076

26,496

10 Mbps

1,450

7,830

14,790

27,840

15 Mbps

1,600

8,640

16,320

30,720

20 Mbps

1,850

9,990

18,870

35,520

*Gharama zote hazijumuishi VAT*

3. Bidhaa

No.

Bidhaa

Kiasi

Maelezo

1

Media Converter FE

01

Itaazimwa na kurudishwa na mteja mara atakapositisha mkataba

2

Router Modem

01

*Maelezo:

Gharama tajwa haijumlishi VAT

Mkataba huu utachukuliwa hatua ndani ya siku 30 kutoka siku ya makubaliano

- Kwa maelezo zaid, tafadhali wasiliana na:

Mr. Nguyen Hoang An.

Cheo: Kuu wa Idara ya Corporate

Namba ya simu: 0629101968

Email: annh@viettel.com.vn

Anuani: 4th Floor, Tropical Center, Plot 30 A&B, New Bagamoyo Road, Dar es Salaam