CUG Package

 

- Utangulizi: Halotel CUG ni vifurushi vinavyoweza kutumika na kundi la watu vyenye gharama nafuu za mawasiliano kwa ajili ya biashara, mashirika tofauti, familia au marafiki vinavyowawezesha kufaidika na kufurahia gharama za chini za Haloetl, intaneti bomba, promosheni na ofa nzuri

 • Furahia kuongea
 • Furahia kushirikiana
 • Watu Zaidi – Furaha Zaidi
 • Ungana Zaidi – Lipia Kidogo

- Sifa za Vifurushi:

 • SMS Bure kwa kila mteja alieunganishwa
 • Gharama kidogo kuunganishwa na CUG

- Makato:

 • Furahia gharama nafuu za CUG ukiwa na Halotel
 • Baada ya mteja kulipia Tsh 4,999/= atapata bonus ya Tsh 3,000/= kama salio kwenye akaunti kuu.

- Bonus hiyo ataitumia:

 • Kujiunga kifurushi chochote
 • Kupiga simu na kutuma SMS kwa namba nyingine ambazo hazipo kwenye kikundi.
 • Kutumia Intaneti

- Gharama na kodi:

Gharama mwezi

(TSH)

UTAPATA

Gharama nje ya kikundi

SMS

DAKIKA

Bonas

4,999/Mteja

Bure

Bure

3,000 salio

Halotel-Halotel: 3.8 Tshs/sek

Mitandao mingine 3.8 Tshs/sek

2,500/Mteja

Bure

 

SMS: 30 Tshs/sms-

 

 

- Vigezo na Masharti:

 • Gharama zote zimejumlishwa na kodi na kuzingatiwa.
 • Kwa wateja ambao wanamiliki Sim Card wanaweza kujiunga na huduma hii bila kununulia Sim Card nyingine.
 • Endapo litatokea hitaji la kuongeza mshiriki katika huduma hii, gharama itakuwa Tshs 4,999/kwa mshirika, kutoa mshirika ni bure.
 • Mteja atatakiwa kufanya malipo kila mwezi kwenye duka lolote la Halotel au kupitia benki.
 • Kusainishwa mkataba na malipo yatafanyika kabla ya masaa24.