Postpaid

 

- Utangulizi

Ukiwa na PostPaid huna hofu ya kuweka salio kila wakati, furahia gharama nafuu za kupiga simu ukiwa na huduma hii. Ni rahisi na gharama zake ni nafuu.

Ongea bila kikomo ukiwa na huduma hii

Weka rekodi ya matumizi yako ya mwezi

Gharama nafuu za kupiga ndani ya mtandao

Furahia faida za huduma hii

Njia nafuu za kufanya malipo (duka lolote la Halotel au Kwa Vocha)

Huduma za VAS bure

- Makato:

a.      Postpaid bando

Bando

Malipo kwa Mwezi

Dakika za Kimataifa

SMS

Data (MB)

Silva

Tsh 24,999

550

Bila kikomo

750

Dhahabu

Tsh 39,999

1,000

1,024

Almasi

Tsh 49,999

1,200

1,560

Platinam

Tsh 74,999

2,000

2,560

Tanzanite

Tsh 99,999

3,000

4,096

b.           Postpaid malipo ya ziada

Malipo ya Ziada

Huduma

Unit

Tsh

Kupiga

Ndani ya mtandao (1s+1s)

50/dk

Nje ya mtandao (1s+1s)

108/dk

SMS

International

95/sms

Data

MB

30.72/MB

- Kuangalia salio piga *102#

- Vigezo na Masharti

Mteja anatakiwa aweke angalau nusu ya malipo ya kifurushi alichochagua. Endapo Mteja hatomalizia malipo yaliyosalia kabla ya siku iliyopangwa, mteja hatoweza kutumia huduma za Halotel.  Mteja anatakiwa kufanya malipo kwa njia ya vocha ya aina yoyote ili kuendelea kupata huduma

Malipo:

Muda

Tendo

Siku ya 1 - 5

Mteja atapokea bili ya malipo ya mwezi uliopita

Siku ya 5 - 15

Mteja atapewa siku 10 za kufanya malipo

Siku ya 15 - 25

Mteja atapata huduma ya kupiga na kutuma SMS bila Data

Siku ya 25 - 30

Mteja atasitishwa huduma zake zote

Siku ya 30

Mteja atafungiwa na namba itachukuliwa