Promosheni

Halotel kupitia huduma Mpya ya Halopesa inakuletea Promosheni yake. Sasa ukinunua muda wa maongezi kupitia HaloPesa utapata punguzo la asilimia thelathini (30%) katika akaunti yako ya promosheni. Pata pia punguzo la asilimia 3 (3%) kwenye akaunti yako ya HaloPesa pindi unaponunua muda wa maongezi kupitia HaloPesa. Hii haijawahi tokea, kwa kupata promosheni hii fuata hatua zifuatazo:

Hatua 1: Piga *150*88#

Hatua 2: Chagua 3, kununua muda wa maongezi

Hatua 3: Chagua kwa namba yangu

Hatua 4: Ingiza kiasi

Hatua 5: Ingiza namba za siri

Hatua 6: Thibitisha muamala

Kwa kufanya haya utajipatia punguzo la asilimia 30 (30%) kwenye akaunti yako ya promosheni na asilimia 3 (3%) kwanye akaunti yako ya HaloPesa.

Kwa msaada zaidi piga 100