Chipsi bando

-Utangulizi

  •  Vifurushi hivi vinamfanya mteja afurahie kutumia huduma za simu kwa gharama nafuu zaidi.
  •  Chipsi bando zinampa mteja uwezo wakupata MB na dakika za kutosha.
  •  Piga *148*66# kisha chagua 2 kupata vifurushi hivi.
  •  Kuwa wakwanza kujiunga na CHIPSI bando leo.

 

Gharama (Tsh)

Utapata

Muda

100

MB 25

Saa 1

100

200 sekunde kupiga Halotel

Saa 1

100

100 sekunde kupiga Mitandao yote

Saa 1

100

Ongea usiku Bila kikomo (Halotel)

Usiku 6:00 hadi 12:00 Asubuhi