Vifurushi vya usiku

 

- Utangulizi:

  • HALOTEL inakuletea kifurushi cha intaneti cha usiku kwa wale wanaodownload sana.
  • Ukiwa na Tsh. 1,500 utapata GB 10 za kuperuzi intanenti na kudownload movie, miziki na mengine mengi usiku mzima.
  • Sasa unaweza kudownload katika spidi ya juu asante kwa intanenti ya uhakika usiku
  • Unaweza kununua Vifurushi mara nyingi utakavyo
  • Tupo juu Zaidi ya washindani wetu

- Maelezo ya ofa

Gharama (Tsh)

Data

Muda

500

1 GB

Usiku 1 (6 usiku – 12 asubuhi)

1,500

10 GB

Usiku 1 (6 usiku – 12asubuhi)

- Kutumia intaneti nje ya muda huu utakatwa makato ya kawaida: Tsh. 30.72/MB