Halo Laini

- Utangulizi:

Halo Laini ni kifurushi cha malipo ya kabla  cha kuanzisha huduma za Halotel chenye faida kubwa, makato ya chini na promosheni kabambe za huduma za simu nchini. Ukiwa umefika kila kona ya nchi, intaneti bora ya spidi kubwa na gharama nafuu, HALO SIM ndicho pekee unachohitaji  kuwasiliana na marafiki na familia.

 

- Maelezo:

WEKA VOCHA

FAIDA

Dk- Mitandao yote

Dk- Halotel

SMS

MB

SIKU

Ongeza vocha ya  500Tsh

10

25

100

100+50 kwa siku(kwa ya siku 15)

15

Ongeza vocha ya  1,00Tsh

15

35

200

100+50 kwa siku(kwa ya siku 15)

15

Mteja akipiga *148*66# Atapata Ofa maalum

Ofa Maalum (vifurushi 6)

 

 

OFA MAALUM BANDO KWA Mteja Mpya Baada ya kukamilisha  Usajili na Kuanza kutumia Laini.

Baada ya kukamilisha usajili na kuiwekea vocha, mteja mpya atapata OFA MAALUM katika menyu ya Halotel, piga *148*66# chagua 1 kujiunga na vifurushi. Ofa hii ina vifurushi vinne, viwili vikiwa vya kupiga Halotel-Halotel na viwili vya kupiga mitandao yote. Vifurushi hivi vya ofa maalumu vitadumu kwa siku 60 tu kuanzia siku laini ilipoanza kutumika.

 

Aina ya kifurushi

Tshs

Halotel-Halotel (dk)

Mitandao yote (dk)

SMS

Data (MB)

Muda

Halotel-Halotel

250

35

0

30

0

Siku 1

500

45

0

45

0

Siku 3

Mitandao yote

250

6

4

30

0

Siku 1

500

9

6

45

0

Siku 3

Vifurushi- intaneti

500

0

0

0

150

Siku 1

1000

0

0

0

300

Siku 5

 

 

- Vifurushi:

  • Vifurushi vya Halotel kwenda Halotel

 Muda

Gharama (Tsh)

UTAPATA

Halotel (dk)

Mitandao yote (dk)

SMS

Intaneti (MB)

399

12

0

50

3

499

18

2

75

5

649

32

3

300

15

999

65

5

400

30

 

Wiki

1,999

70

5

250

50

3,999

150

8

600

100

9,999

500

20

1500

200

 

Mwezi

9,999

450

20

2,000

200

19,999

1020

40

4,000

500

29,999

1,630

60

10,000

600

49,999

2,840

100

10,000

1,536

 

 

Vifurushi vya Halotel kwenda mitandao yote

Muda

Gharama(Tsh)

UTAPATA

Mitandao yote (dk)

Halotel – Halotel (dk)

SMS

Intaneti (MB)

 

 

Siku

399

5

2

30

3

499

9

6

50

5

649

12

6

100

10

999

24

10

200

20

 

Wiki

1,999

31

10

350

60

4,999

100

30

1,300

120

9,999

190

70

2800

300

 

Mwezi

9,999

175

50

1,800

220

19,999

375

100

3,800

500

29,999

570

200

5,500

600

49,999

1100

300

10,000

1,536

 

Vifurushi vya SMS pekee

Mteja anaweza kujiunga na vifurushi vya SMS pekee kwa kupiga *148*66# kisha chagua 2 (Halotel-Halotel) au 3(Mitandao Yote)

 Hivi ni vifurushi vya SMS pekee.

Jina la kifurushi

Gharama (Tsh)

SMS

Muda  (siku)

SMS_D

100

25

1

SMS_W

500

Bila kikomo

7

SMS_M

1000

Bila kikomo

30

 

Angalia namba: piga*106#

Kuangalia salio: piga *102#

Kuongeza salio: *104*namba za vocha#

Kwa msaada, piga 100