Halo Laini

- Utangulizi:

Halo Laini ni kifurushi cha malipo ya kabla  cha kuanzisha huduma za Halotel chenye faida kubwa, makato ya chini na promosheni kabambe za huduma za simu nchini. Ukiwa umefika kila kona ya nchi, intaneti bora ya spidi kubwa na gharama nafuu, HALO SIM ndicho pekee unachohitaji  kuwasiliana na marafiki na familia.

- Maelezo:

Kifurushi kwa laini mpya kwa mteja atayeweka vocha ya 500Tshs.

Dak 15 kupiga mitandao yote, dakika 25 kupiga Halotel kwenda Halotel, SMS 100 na MB 100  kwa siku 30 (kuanzia muda wa kuanzisha). Piga *102*01# kuangalia salio.

Kifurushi kwa laini mpya kwa mteja atayeweka vocha ya 1000Tshs au Zaidi.

Dakika 40 kupiga Halotel- Halotel, dakika 20 kupiga mitandao yote, 200 SMS na 100MB‎ tumia kwa siku 30 .  (kuanzia siku uliyoanza kutumia laini). Piga *102*01#kuangalia salio lako la kifurushi.

 

OFA MAALUM BANDO KWA Mteja Mpya Baada ya kukamilisha  Usajili na Kuanza kutumia Laini.

Baada ya kukamilisha usajili na kuiwekea vocha, mteja mpya atapata OFA MAALUM katika menyu ya Halotel, piga *148*66# chagua 1 kujiunga na vifurushi. Ofa hii ina vifurushi vinne, viwili vikiwa vya kupiga Halotel-Halotel na viwili vya kupiga mitandao yote. Vifurushi hivi vya ofa maalumu vitadumu kwa siku 60 tu kuanzia siku laini ilipoanza kutumika.

Aina ya kifurushi

Tshs

Halotel(dk)

Mitandao yote (dk)

SMS

Muda

Halotel-Halotel

250

35

0

30

1Siku

500

45

0

45

3 Siku

Mitandao yote

250

6

4

30

1 Siku

500

9

7

45

3 Siku

 

- Vifurushi:

Vifurushi vya Halotel kwenda Halotel

 Muda

Gharama (Tsh)

UTAPATA

Halotel (dk)

Mitandao yote (dk)

SMS

Data (MB)

 

Siku

300

9

1

30

3

399

14

1

50

3

499

23

2

75

5

649

41

3

300

20

999

76

5

400

40

 

Wiki

1,999

93

5

350

150

3,999

205

8

1,000

180

9,999

513

20

2,800

300

 

Mwezi

9,999

463

20

2,000

220

19,999

1020

50

4,000

500

29,999

1,630

70

10,000

600

49,999

2,840

130

10,000

1,536

 

Vifurushi vya Halotel kwenda mitandao yote

Muda

Gharama(Tsh)

UTAPATA

Mitandao yote (dk)

Halotel – Halotel (dk)

SMS

Data (MB)

 

 

Daily

300

3

5

30

3

399

5

7

50

3

499

9

8

75

5

649

14

10

300

20

999

25

16

350

40

 

Weekly

1,999

32

21

350

150

4,999

102

53

1,300

180

9,999

195

155

2800

300

 

Monthly

9,999

180

105

1,800

220

19,999

400

220

3,800

500

29,999

570

400

5,500

600

49,999

1200

600

10,000

1,536

 


Vifurushi vya SMS pekee

Mteja anaweza kujiunga na vifurushi vya SMS pekee kwa kupiga *148*66# kisha chagua 2 (Halotel-Halotel) au 3(Mitandao Yote)

 Hivi ni vifurushi vya SMS pekee.

Jina la kifurushi

Gharama (Tsh)

SMS

Muda  (siku)

SMS_D

100

25

1

SMS_W

500

Bila kikomo

7

SMS_M

1000

Bila kikomo

30


 

Angalia namba: piga*106#

Kuangalia salio: piga *102#

Kuongeza salio: *104*namba za vocha#

Kwa msaada, piga 100