Halo Morning

Kifurushi cha Data tu cha ausbuhi. MB zitatumika kuanzia saa 11: Alfajiri hadi saa 3:00 Asubuhi

Gharama (Tshs)

MB

Muda

500

500

Kuanzia11Alfajiri hadi 3Asbuhi

1000

1300

Kuanzia11Alfajiri hadi 3Asbuhi

 

Furahia asubuhi yako ukiwa na kifurushi cha Halo Morning! Kutoka Halotel mtandao wenye kasi kubwa ya intaneti, jiunge na kifurushi hiki, piga *148*66#chagua 6 kupata MB za kutumia asubuhi. Asante!