Halo University Pack

- Utangulizi:

Ofa maalum ya mwanachuo ya Halotel ni huduma ya promosheni ambayo inawawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vingine nchini kuendelea kuwasiliana kupitia huduma za simu za Halotel ambazo ni huduma za sauti na kujifunza zaidi kwa kutumia intaneti ya kasi ya juu. 

Halotel inawapa wanafunzi wote wa vyuo ofa mbili maalumu;

- Bando Maalum

Ukiwa na laini Maalum ya Mwanachuo, Mwanachuo anaweza kujiunga na bando maalum za Mwanachuo mahali popote pale, kwa kupiga *148*55#.

Muda

Gharama (Tsh)

Halotel (Dk)

Mitandao yote (Dk)

SMS

Data (MB)

Siku

300

35

3

300

350

500

60

5

500

550

Wiki

1,500

200

15

1,500

1,229

2,500

300

20

2,500

2,560

500

-

-

 

450MB + 100MB usiku

Mwezi

9,999

1,200

80

10,000

10,240