Kifurushi cha ECO

Bando hili linawahusisha wateja wa makundi yote kutokana na tofauti zao za hali ya kiuchumi

      i.         Wateja wa hali ya kipato cha chini- wenye kutumia Tshs 5000 kwa Mwezi.

     ii.         Wateja wa kipato cha kati- wenye kutumia Tshs 20,000 kwa Mwezi.

   iii.         Wateja wa kipato cha juu- wenye kutumia Tshs 100,000 kwa Mwezi

 

1.     Jedwali lifuatalo hapo chini linaonyesha vifurushi vya ECO

 

Jina la Bando

Tsh

Dk Mitandao yote

Data

MB

SMS

Muda

 

Nukuu

 

 

ECO Bando

Economy

5,000

90

450

500

Siku 30

 

Silver

10,000

150

1200

1000

Siku 30

Gold

20,000

300

2500

1500

Siku 30

Platinum

50,000

550

10,000

10,000

Siku 30

Tanzanite

100,000

1,100

21,000

Bila kikomo

Siku 30

ECO vifurushi vya ziada

5,000

 

100

-

-

Siku 7

Vigezo: Unaweza kujiunga na vifurshi hivi kama ulijiunga na ECO bando

5,000

 

 

2048

-

Siku 7

10,000

 

100

3072

-

Siku 7

 

ECO bando anaweza kujiunga mteja yoyote wa Halotel kwa *148*66# chagua “5”.

Kama mteja atajiunga na ECO bando, atapata faida zifuatazo;

i.               Kujiunga na vifurushi vya ziada vya ECO bando vya wiki, ikiwa kama mteja amemaliza bando lake la ECO kabla muda wa kuisha.

ii.              Kuwa na chagua la kujiunga na bando la kujiurudia, hivo mteja atapata taarifa za kuisha kwa muda wa bando lake kuisha, hivo kumpa fursa ya kuchagua bando kujiunga kwa kujirudia ama hapana.

iii.            Kupata garama nafuu ya kupiga simu baada ya mteja kumaliza bando lake la ECO, lakini mteja hajataka kujiunga na vifurushi vya ziada vya ECO.

 

-       Angalia jedwali lifuatalo kuona mlinganisho wa Gharama za kupiga

 

Viwango

Garama za Halote

Garama kwa Mitandao Mingine

Data (MB)

SMS

Viwango vya kawaida

3.8 Tsh/sek

3.8 Tsh/sek

30.72 Tsh/MB

30 Tsh/SMS

Viwango kwa mteja aliyejiunga na ECO bando

0.5 Tsh/sek

1 Tsh/sek

5 Tsh/MB

5 Tsh/SMS

Maelezo ya misamiati:

ECO bando– Bando kuu la ECO

Vifurushi vya ziada vya ECO – Hivi ni vifurushi vya ziada ambavyo mteja anaweza kujiunga iwapo tu alijiunga na ECO bando akamaliza kutumia kabla ya muda wa kuisha bando.

 Viwango baada ya kujiunga na ECO bando – Garama nafuu ambazo mteja atazitumia kama alijunga na ECO bando na kumaliza kutumia kifurushi chake kabla muda wa kuisha kwa matumizi ya bando hilo.