Roaming

 

- Utangulizi

 • Huduma ya Roaming kimataifa ya Halotel ni huduma ambayo inawezesha wateja wetu kuwasiliana wakiwa safarini kimataifa kwa kutumia laini zao na na namba zao za Halotel. Huduma hii hutumika kwa wateja wote wa malipo ya kabla na baada. Tukiwa tumeungana na mitandao Zaidi ya 300 ndani ya nchi 110 duniani kote, utajisikia upo nyumbani popote utakapoenda ukiwa na Halotel.
 • Endelea kuwasiliana: Unaweza tunza mawasiliano ( itakuwezesha kupiga/kupokea simu/kutuma/ kupokea SMS kutumia GPRS/EDGE na huduma nyimngine) kwa kutumia namba yako kama kawaida hata ukiwa unasafiri kimataifa.
 • Inapatikana na nyepesi kutumia: ukiwasha simu yako itaungana na mitandao ya simu ya nchi ambazo zinauhusiano wa kibiashara wa roaming na Halotel
 • Njia nyepesi ya malipo: Unaweza kulipa moja kwa moja kwenye mtandao wako wa nyumbani

1. Makato

 • Kupiga simu dakika 1 + dakika 1 (itachajiwa baada ya sekunde ya kwanza)
 • Tarakimu 160 kwa SMS
 • Kupokea SMS: Bure
 • Data ( GPRS/EDGE/3G) : 10 kb = 10 kb kuzuia (Utahusisha kutupia na kupakua)

 • Ukanda

  SMS (Tsh/SMS)

  Kupiga simu (Tsh/dk)

  Data (Tsh/MB)

  Kupokea simu

  Kupiga mitandao mingine katika nchi ya roaming

  Kupiga Tanzania

  Simu za kimataifa

  Simu za sateline

  1

  450

  450

  1,100

  3,200

  6,400

  21,000

  14,000

  2

  900

  900

  3,300

  4,300

  6,400

  21,000

  22,000

  3

  2,150

  10,750

  10,750

  21,000

  21,000

  21,000

  54,000

  - Gharama hizi ni kabla ya tax.
 
 • .Ukanda wa 1: Viettel Global (Laos, Cambodia, Timor, Haiti, Cameroon, Mozambique, Burundi, Peru), Kenya, Uganda, Rwanda, Congo DRC, Malawi, Zambia, South Africa, UK, Sweeden, Denmark, Switzerland, Italy, France, Netherlands, Russia, Spain, Belgium, Austria, Finland, Poland, USA, Canada, Australia, Japan, India, Hong Kong, Taiwan, China, Korea, Singapore.
 • Ukanda wa 2: Nchi nyingine duniani
 • Ukanda wa 3: Mitandao ya satelite ya aero