ROYAL BANDO

Ishi Kifalme! Ukiwa na huduma ya Royal utafurahia vyote unavyohitaji.

Pata dakika nyingi za kupiga Mitandao yote, Intaneti Bila kikomo na SMS kuanzia Tsh 10,000 tu kwa mwezi mzima.

Siku 30

Tsh

Dk Mitandao Yote

Dk Halotel

SMS

INTANETI GB

10,000

120

300

500

2

200

 

500

0.5

20,000

250

650

1000

4.5

500

 

1000

1

30,000

350

1000

3000

7.2

800

 

1000

3

50,000

350

1700

5000

17

1500

 

3000

5

100,000

1000

4000

10000

35

4000

 

3000

10

 

FAIDA ZAIDI

  • Furahia kupiga simu bila bando kwa Gharama nafuu Tsh 1/Sek.
  • Piga simu China, USA na India kwa Tsh2/Sek tu.
  • Huduma za Burudani BUREE

 

Jinsi ya Kujiunga

  • Kama ni mteja wa Halotel piga *148*66# kisha chagua Royal Bando na ufurahie huduma hii na kama huna laini ya Halotel, Jisajili na laini ya Royal kupata huduma hizi.