Vifurushi vya EDU

Hivi ni vifurushi vingine kutoka Halotel , wateja walengwa ni wanafunsi na walimu. Vifurushi hivi ni vizuri vinampa mteja faida nyingi akijiunga kutokana na hali ya kiuchumi ya wateja lengwa .

 

Maelezo yafuatayo hapo chini yanahusu vifurushi vya EDU;

-  Mteja anatakiwa apige *148*55# kupata vifurushi vya EDU.

-  Mteja mwenye laini ya EDU atapata dakika 20 za kupiga Halotel-Halotel kila Mwezi kwa miezi 6 mfululizo.

-  Mteja mwenye laini ya EDU atapata ofa ya kusajili laini ya kawaida, kama mteja mwingine anapomaliza usajili na kuianzisha laini yake kufanya kazi  akiweka vocha ya Tshs 500 au Tshs 1000.  

 

Garama (Tsh)

 

Dk Halotel

 

Dk Mitandao yote

 

Data (MB)

 

SMS

Muda

 

500

   

 

350+250Usiku

 

Siku7

300

20

3

200

350

Siku 1

500

50

4

350

550

1000

80

8

500

1000

 

Siku7

1500

130

13

800

1500

2500

250

20

1536

2500

6000

550

35

3584

6000

 

Siku 30

10000

1000

70

7168

10000

15000

1500

120

12288

15000