Vifurushi vya Strimika

Vifurushi vya Strimika

Jiunge na Vifurushi vya Strimika na upate hadi GB 7 za kutazama video YouTube!!!! Kifurushi cha Strimika kinakupa msisimko wa kipekee wa kuangalia filamu, michezo, muziki na yote uyapendayo ukiwa na mtandao wenye spidi ya kasi ya intaneti.

Piga *148*66# leo kisha chagua 6 kujiunga na kifurushi cha siku, wiki na mwezi kwa video nzuri za kusisimua.

                                          Vifurushi vya STRIMIKA

Gharama (Tsh.)

 

 MB

Muda

500

300

Siku 1

1000

500

Siku 7

2000

1229

Siku 7

5000

3072

Siku 30

10000

6656

Siku 30

*Halotel inayofuraha kujumuisha mshirika mwingine kwenye huduma za video. Kama ni mtoa huduma za video tafadhali wasiliana nasi kwa info@halotel.co.tz or au piga 100