Weekend pack

Hivi ni Vifurushi ambavyo  vitatumika siku za wikiendi tu ambazo ni Jumamosi na Jumapili ila unaweza kujiunga siku yoyote katika wiki lakini matumizi yake yatakuwa siku hizo zilizotajwa hapo juu.

Vifurushi vipo vya Dakika na Data (MB) See the below contents.

Gharama

(Tsh.)

MB

Mitandao yote(dk)

Halotel(dk)

Muda

700

275

-

-

Jumamosi na Jumapili

3000

3686

-

-

Jumamosi na Jumapili

700

-

11

8

Jumamosi na Jumapili

1500

-

36

27

Jumamosi na Jumapili