
Halo Saini
HALO SAINI ni huduma inayokuwezesha kuweka maneno yenye Hisia au ya watu maarufu kama Saini yako pindi unapowapigia/wanapokupigia.
Jinsi ya kutumia huduma hii
- Kujiunga na huduma hii
- Tuma neno ON kwenda 15614 kwa ajili ya kufurushi cha Siku.
- Tuma neno ON30 kwenda 15614 kwa ajili ya kifurushi cha Mwezi.
- Kuweka sahihi yako: Tuma SIGN <Neno la sahihi> kwenda 15614
Umuhimu wa huduma hii
- Inasaidia kuwashirikisha wanaokupigia mawazo yako.
- Inasaidia wanaokupigia kufahamu wewe ni nani kwakuweka saini kama jina lako.
- Inasaidia watumiaji kutangaza biashara zao.
Gharama ya huduma hii
- Kifurushi cha siku: 30 Tsh/Siku
- Kifurushi cha Wiki: 200 Tsh/Wiki
- Kifurushi cha Mwezi: 400 Tsh/Mwezi
- Kubadili/Kurekebisha sahihi: Ni bure na unaweza kubadili mara nyingi upendavyo.
Vigezo na Masharti
- Kwa maneno yasiyo na tija yamezuiliwa na mfumo.
- Maneno ya saini yasizidi herufi160 pamoja na namba ya simu.