Halo Beatz

Halo Beatz ni huduma inayokuwezesha kuchagua nyimbo uzipendazo na kuzifanya kuwa miitikio/ au Miitikio kwenye simu yako na kusikika  pindi upigiwapo simu.

Ondoa miitikio ya zamani ya “tring tring” kwenye simu yako na uzifanye nyimbo uzipendazo kama Miito na uwafurahishe leo wakupigiao

Jinsi ya kutumia Huduma

Unaweza kuwezesha huduma ya HALO BEATZ kupitia SMS/USSD/IVR/STK au tovuti ya miziki ya Midundo kama ifuatavyo.

-Piga *15607*1#  au tuma ON kwenda 15607 kuwezesha huduma ya HALO BEATZ kwenye namba yako ya HALOTEL

-Kwa STK, angalia kitufe kilichoandikwa SIM Tool Kit (STK) kwenye simu yako, bofya kitufe hicho halafu bofya HALO BEATZ ili kusajili.

-Kwa njia ya tovuti, tembelea www.midundo.co.tz na kisha utachagua kipengele cha BONGO BEATZ ili kupakua miitikio kwa wanaokupigia

-Kwa IVR (njia ya sauti) piga 15607 kisha fuata maelekezo

-Kupakua miitikio, tuma PATA <acha nafasi> namba ya wimbo kwenda 15607

-Kuzawadia muitikio andika  TUMA <acha nafasi> namba ya wimbo <acha nafasi> namba ya mpokeaji kisha tuma kwenda 15607

-Kupata orodha ya nyimbo zilizopo kwenye albumu yako tuma ORODHA kwenda 15607

-Kupata orodha ya nyimbo mpya za miitikio tuma MPYA kwenda 15607

-Kuchagua wimbo wa kusikilizwa na wakupigiao andika WEKA<acha nafasi> namba ya wimbo na kisha tuma kwenda 15607

-Kunakili wimbo uliousikia kutoka kwa mteja mwingine, bonyeza NYOTA (*) wakati unampigia na wimbo huo utakuwa wa kwako

Gharama za huduma

Huduma hii inagharimu:

  • Kujiunga ni Bure na  Utapata siku 1 Bure 
  • Gharama baada ya Promoheni
  • Kifurushi cha Siku: Tsh 30/Siku
  • Kifurushi cha Wiki: Tsh 150/Wiki
  • Kifurushi cha Mwezi: Tsh 400/Mwezi
  • Gharama kwa ajili ya kupakua na  Kuzawadia wimbo ni Tsh 100/ wimbo
  • Kupiga IVR ni Tsh 10/Dakika  kusikiliza na kuchangua .

Vigezo na Masharti

- Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL,

-Huduma itasitishwa baada ya kutolipia kwa muda wa siku 180

Mpendwa mteja, kwa msaada na maelezo zaidi kuhusu huduma hii tafadhali tuma MSAADA kwenda 15607 au piga: 0620100100