Halo TV

HUDUMA YA HALO TV

 ni huduma inayokuwezesha kufurahia kutazama chaneli  Mbali  mbali za Televisheni moja kwa moja au kupakua vipande vya video vya kuburudisha kupitia simu yako ya kiganjani. Unaweza kutazama Mobile TV kwa kujiunga kupitia SMS, USSD, STK and WAP au WEB kwa kubofya kiunganishi hiki; http://halotv.co.tz 

Jinsi ya kutumia huduma hii

Kujiunga na huduma hii  tuma neno “ON HALOTV” kwenda 15609 au piga *15609*8# kujisajili au kwa kufuata maelezo yafuatayo

 Kusajili

-        Kwa kifurushi cha Siku  : Tuma  neno “ON ” kwenda 15609 au piga *15609*1     

-        Kwa kifurushi cha Wiki : Tuma  neno “ON7" kwenda 15609 au piga *15609*2#

-        Kwa kifurushi cha Mwezi :Tuma  neno “ON30” kwenda 15609 au piga *15609*3#

-        Kusitisha huduma : Tuma neno “OFF ” kwenda 15609  au piga *15609*0#    

-      Kuongeza muda wa ziada: Tuma  nenoMUDA muda wa nyongeza” kwend 15609 au piga *15609*4*muda wa nyongeza # (Mfano: MUDA 3 kwenda 15609 au piga                  *15609*4*3#

·         Kupata orodha ya stesheni: tuma neno ORODHA kwend 15609 au piga *15609*5#

Gharama za Huduma

Huduma hii inagharimu:

.Tsh 5000/Mwezi kwa kila kifurushi cha Chaneli

.Na kutazama video zote bure.

Vigezo na Masharti 

          -    Huduma hii ni kwa watumiaji wa halotel pekee.

          -    Usajili wa huduma hii ni lazima .

 

             Kwa maelezo zaidi tafadhali tuma, neno MSAADA kwenda 15738