Midundo

MIDUNDO

Konga nyoyo na Muziki! Midundo ni  huduma ya muziki ambao hukupa fursa ya kufurahia  vitu  mbalimbali vya kisanaa kwenye simu yako muda wote na mahali popote kama vile Nyimbo, Albamu,Video, Miito ,Miitikio,   Kali za Redioni na Picha.

Jinsi ya kutumia Huduma

Kuna namna mbalimbali za kujiunga na huduma ya midundo kama vile USSD, STK, SMS, WEB/WAP.

Unaweza kujiunga na vifurushi mbalimbali kama vile kifurushi cha siku,wiki au mwezi.

      -  Kifurushi cha siku tuma SMS  'ON1' au 'M1' kwenda  15574 au Piga *15574*0#

      -  Kifurushi cha wiki tuma SMS 'ON7' au 'M7' kwenda 15574 au Piga *15574*7#

      - Kujiondoa na kifurushi hiki tuma SMS ONDOA kwenda 15574  au Piga *15574*1#

 Gharama za Huduma

Huduma hii inagharimu:

.Kujiunga ni Tsh 60/Siku 

.Kujiunga ni Tsh 300/Wiki

 

Vigezo na Masharti ya Huduma

Huduma inapatikana kwa watumiaji wa malipo ya kabla na baada ambao wamewezeshwa kupiga na kupokea au kutokuwa na deni.

• Usajili utaruhusiwa kwa watumiaji wa Halotel pekee.

•  Watumiaji wote iwapo waliojiunga na Halotel au wasiojiunga hawatoweza kuingia  kwenye Midundo WAP na  WEB kupitia  m.midundo.co.tz na midundo.co.tz.

•  Watumiaji wote wa Halotel na wasio wa Halotel, wataweza kuangalia na kusikiliza  yaliyomo.

•  Gharama za kusikiliza na kuangalia yaliyomo kwa wasio watumiaji wa Halotel itaendana na misingi pamoja na  kiwango cha data. 

•  Kupakua, kutoa maoni na kutuma  zawadi kitahusika kwa watumiaji wa Halotel walisajiliwa tu.

          Kwa msaada zaidi  tuma sms MSAADA kwenda 15574 au  piga *15574#