Mpe Salio

Huduma ya Halotel ya kutuma Muda wa maongezi au Ishare inayokupa fursa ya kutuma salio kutoka kwenye salio la akaunti yako kwenda kwa mtu mwingine, na unaweza kuwatumia salio watu unaowapenda hadi Tsh.10,000 kwa Siku.Usijali kuhusu gharama za kutuma, ni bure (Makato Tsh 0.0)

 

Jinsi ya kutumia huduma

  Jinsi ya Kutuma Muda wa Maongezi

       -  Kutuma salio, piga *101*Namba ya Mpokeaji*Kiasi#

 

Gharama za huduma 

 Huduma hii ni BURE

Kwa maelezo zaidi au msaada  piga *100#