SOKA

Ni huduma inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kuweza kushinda pesa Taslimu kwa kujibu maswali

Usajili wa Huduma

-Kujiunga tuma neno SOKA kwenda 15670,

-Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15670

Faida za huduma:

- Huduma inatoa fursa ya kuwapa wateja nafasi ya kushinda pesa hadi Tsh. 11,200,000 taslimu.

Gharama za huduma

-Gharama ya kifurushi cha siku ni Tsh.99/SMS

Masharti ya Huduma

1.      Masharti ya Kutumia huduma

-Huduma ni kwa wateja wa HALOTEL pekee.

-Huduma inapatikana kwa wateja wa malipo kabla na baada waliwezeshwa kupiga na kupokea.

2.      Huduma inafaa kwa aina zote za simu ya mkononi.