BBC Swahili

Ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata habari za kuaminika kuhusu jamii, uchumi na siasa kutoka sehemu mbalimbali Ulimwenguni.

Jinsi Ya Kutumia Huduma

  - Kujiunga na Huduma:

      Tuma neno BBC kwenda 15596 kusajili huduma.

Faid za huduma

-Usajili wa Huduma ni BURE

-Huduma inawasaidia wateja wa Halotel kupata habari za hivi punde zinazotokea ulimwenguni kama zilivyoripotiwa na BBC.

-Huduma inapatikana kwa wateja wa simu za aina zote: watumiaji wa Smartphone na wasiotumia smartphone.

- Huduma ya BBC Swahili inatoa taarifa mbalimbali zikiwemo siasa, burudani, jamii n.k kutoka maeneo mbalimbali kwa lugha ya Kiswahili.

-Kupitia huduma hii , mteja atapata taarifa mpya muda wowote na popote.

 

Gharama Za Huduma

- Kujisajili: BURE

-  Siku 7 Bure kujisajili kwa mara ya kwanza: Tsh100/Siku baada ya promosheni.

 

Vigezo na Masharti

  - Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL wa malipo kabla.

  - Huduma ni kwa wateja waliowezeshwa kupiga na kupokea.

 - Mtumiaji anaweza kupokea ujumbe User can receive a maximum of 5 new notifications per day.

 - Mteja atafanikiwa kurejesha kifurushi kama ana salio la kutosha kwenye akaunti yake kulipia huduma.

 - Mteja hawezi kufanikiwa, iwapo hana salio la kutosha kwenye akaunti yake na mfumo utashindwa kutuma taarifa kwenye simu yake mpaka aongeze salio.

 -  Muda wa huduma kujiendeleza siyo zaidi ya siku 90 .