Busy SMS

Ni huduma inayo kuwezesha kuwataarifu wanao kupigia kuwa kwa wakati huo huwezi kupokea simu zao, labda ni kwasaabu ya mahali ulipo, au unaendesha gari , upo Mkutanoni au Hospitalini n.k

JINSI YA KUTUMIA
-Tuma neno WASHA kwenda 15603 kusajili kifurushi cha siku.
-Tuma neno WASHA30 kwenda 15603 kusajili kifurushi cha mwezi..

Faida za Huduma

-Huduma inampa mteja nafasi ya kutoa taarifa kwa anaempigia kwa upole iwapo mpigiwa atakuwa busy au yupo katika eneo linalomzuia kupokea simu.

Gharama za Huduma
-Gharama za kujisajili:
-Ni bure kwa mteja anaejisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha siku : Tsh 20 /Siku
-Kifurushi cha Mwezi : Tsh 500 / Mwezi
-Kubadili maandishi/ kuboresha : BURE

Vigezo na Masharti

-Huduma ni kwa wateja wote wa malipo kabla na wenye kuweza kupiga na kupokea.

-Namba moja ya mteja inaweza kuonekana au kutumika katika kundi moja tu.

-Iwapo mteja ana salio la kutosha katika akaunti yake, mfumo utamtoza na kumruhusu kuendelea kutumia huduma.

-Mteja hatoweza kuendelea kutumia huduma iwapo hana salio la kutosha na mfumo utatuma ujumbe wa taarifa.