FunSMS

Ulimwengu wa habari na burudani unaompa fursa mteja wa Halotel kuchagua huduma mbalimbali kama vile hali ya hewa, Habari, utabiri wa nyota, rekodi za Guinness n.k kupata taarifa za kila siku!

Daka Burudani na ujiburudishe bila kikomo,

Pata Burudani zaidi ukiwa na Huduma ya FunSMS Sasa!

Jinsi ya kutumia Huduma
1. Piga *148*29#;

2. Chagua lugha ya kutumia;
3. Bonyeza katika kipengele upedacho;
4. Chagua mada yako;
5. Ukisha chagua mada sahihi, Bonyeza “1>Kujiunga” ili kupata taarifa za kila siku.

 

Utabiri wa Nyota, Hali ya Hewa, Siri za Wanawake, Dondoo za Mahusiano, Mambo ya Dunia, Rekodi za Guinness, Misemo, Habari, na huduma nyingine nyingi za kuvutia kutoka FunSMS!!

Gharama za Huduma:

Siku ya kwanza ya kutumia Huduma ya FunSMS itatolewa BURE

Mteja atapaswa kulipia huduma kwa siku inayofuata:
Kiasi cha Tsh 90 kwa huduma za Taarifa (Hali ya Hewa, Habari, Kiwango cha kubadili Fedha);
Kiasi cha Tsh 120 kwa huduma za burudani (Utabiri wa Nyota, Mambo ya Dunia, Mahusiano,Dondoo za Afya, Misemo n.k)
 

 

Namba ya Huduma: *148*29#

 

Jinsi ya Kusitisha Huduma:
1) Kusitisha huduma moja:
Mtumiaji anapaswa kupiga *148*29#, chagua 8>Usajili wangu & Lugha, kisha 2>Usajili wangu, Chagua usajili wako usioutaka (aidha 1>, 2>, 3>, n.k) na thibitisha kusitisha kwa kubonyeza 1>Kubali.
Hivyo, usajili wako usioutaka utasitishwa.
2) Kusitisha Huduma zote kwa mara moja:
Mteja atapiga *148*29#, chagua 8>Usajili wangu & Lugha, kisha 3>Sitisha zote, na thibitisha kwa kubonyeza 1>kubali.
Hivyo utakuwa umesitisha huduma zote.

Vigezo na Masharti

Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee.

- Ujumbe wa Huduma utatumwa kila siku kwa wateja pekee waliofanikiwa kutozwa gharama za huduma.

- Iwapo mteja mteja hatofanikiwa kulipia huduma kwa siku 60 mfululizo, mfumo utasitisha usajili wa huduma.