Global News

Ni huduma inayowapa nafasi wateja wa HALOTEL kupata habari mpya za kuaminika kuhusu michezo, siasa, uchumi na hata za kijamii kutoka kona zote za Dunia kupitia simu zao. Global news ni muunganiko wa huduma tatu (3) ikiwemo huduma ya Michezo, Habarika na Afya.

Jinsi ya Kutumia Huduma

Mteja anaweza kufurahia huduma za global News kwa kufanya yafuatayo.

Tuma MICHEZO Kwenda 15542 kujiunga na huduma ya Michezo.

Tuma HABARIKA kwenda 15542 kujiunga na huduma ya Habarika

Tuma AFYA kwenda 15542 kujiunga na huduma ya dondoo za Afya

Faida za Huduma

-Huduma inawawezesha wateja kupata taarifa ya matukio yanayoendelea ulimwenguni.

-Huduma inamsaidia mteja kupata taarifa kwa urahisi na haraka popote kupitia simu yake.

Gharama za Huduma

-  Mteja atapata siku 1 BURE kwa usajili wa mara ya kwanza.

-  Baada ya Promosheni ni Tsh.100Tsh/Siku

Vigezo na Masharti

Huduma ni kwa watumiani wa HALOTEL pekee.

Mteja lazima awe wa malipo kabla na amewezeshwa kupiga na kupokea.