Halo Chat

Ni huduma ya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na kupata nafasi ya kutafuta marafiki wapya sehemu mbalimbali na kuchati nao wakati wowote na bila kikwazo cha umbali.

Jinsi ya Kutumia Huduma

-Piga 09 0122 4444 kujiunga na huduma.

-Mtumiaji atapokea ujumbe wa kithibitisha kufanikiwa kujiunga na kuanza kutumia huduma.

Faida za Huduma

- Huduma inawapa nafasi wateja wa Halotel kufurahia kwa kuchati na marafiki wapya.

- Inatoa fursa mpya ya kuchat kwa watumiaji wa HALOTEL ukiachilia mbali huduma zingine za ziada.

Gharama za Huduma

-Kujiunga:

-Kifurushi cha Siku: Tsh 50/Siku

-Gharama za Kupiga: Tsh10/Dakika

Vigezo na Masharti

- Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee.

- Huduma inapatikana kwa watumiaji waliowezeshwa kupika na kupokea.