Halo Fun

HALO FUN ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi. Kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.


JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Tembelea http://halofun.co.tz/ kwa kujiunga na huduma

- Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Kisha tembelea http://halofun.co.tz/  kutumia huduma.

Faida za Huduma

- Huduma inawapa fursa wateja kufurahia kwa kucheza gemu mbalimbali mtandaoni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

Gharama Za Huduma

-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

Vigezo na Masharti ya Huduma

      -Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee wenye smartphone.

      - Wateja wote waliwezeshwa kupiga na kupokea simu.

      -Gemu zinaweza kuchezwa mtandaoni pekee hakuna kupakua.