Halo Movie

HALO MOVIE  ni huduma ya kufurahisha ya HALOTEL inayokuwezesha kutazama aina mbalimbali ya Filamu au Tamthiliya  za kimataifa na kitaifa ukiwa mtandaoni. HALO MOVIE inakuwezesha kufurahia filamu mbalimbali za wasanii wakubwa duniani  kutoka  Bollywood, Hollywood, Nollywood  na hata  Bongo Movie etc.

Unaweza pia kutazama filamu za uwezo wa High Definition (HD).

 

Jinsi ya kutumia huduma hii

-Unaweza kujiunga na huduma hii kwa kutuma SMS “ON 7 au ON 30” kwenda 15576.

-Pia unaweza kuipata HALO MOVIE kupitia chaneli za SMS, USSD, Web/WAP.

-Tafadhali bonyeza linki ifuatayo http://halomovie.co.tz Ili uweze kutazama Filamu mbalimbali.

 

Gharama za huduma hii

-Tsh  600 /Wiki na utaangalia filamu 4 bure.

- Tsh 2,000 /Mwezi na utajipatia filamu 15 bure.

Vigezo na Masharti

-HALO MOVIE ni kwa ajili ya watumiaji wa HALOTEL  wa malipo ya awali na ya baada.

-Mteja awe ametimiza vigezo na masharti ya kuangalia video Live katika Mtandao.