Halo Quiz

Halo Quiz ni huduma ya kuvutia inayowapa fursa wateja wa HALOTEL nafasi ya kujifunza na kufurahia zawadi kwa kujibu maswali kiusahihi. Mteja atapata nafasi ya kuchagua maswali na kusikiliza kisha kuchagua jibu sahihi kwa muda mfupi kujishinidia zawadi.

Usajili wa Huduma:

- Unaweza kujiunga na huduma kupitia:

- IVR kwa kupiga 09 0122 1111 kusajili huduma.

Faida za Huduma:

- Huduma inampa mteja  wa HALOTEL ujuzi mbalimbali katika Sanaa, Sayansi, Hesabu, Historia, mazingira pamoja na michezo

- Huduma inampa nafasi mteja kushinda hadi Tsh 8,000 kama muda wa maongezi.

Gharama za Huduma:

-Gharama: Tsh 100/Siku/Nafasi 2 za kucheza

 

Masharti ya Huduma

-Huduma ni kwa wateja wa HALOTEL pekee.

-Huduma ni kwa wateja wa malipo ya kabla na baada wenye kupiga na kupokea

-Katika kila kifurushi, mteja atapata nafasi 2 za kucheza Halo Quiz.

-Mtumiaji anaweza kujiunga na kifurushi chochote baada ya kifurushi cha mwanzo kuisha

-Mteja atatozwa katika kila kifurushi anachochagua baada ya kifurushi cha awali.