Halo Redio

Ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intanei.

kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

Jinsi ya Kutumia Huduma

Piga 09 0122 0122 kusajili huduma.

Faida za Huduma

-Hudma ya Halo Redio inawapa wateja wa Halotel kufurahia ulimwengu mpya wa burudani

Gharama za Huduma

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 10/Dadika.

Vigezo na Masharti

-Huduma hii ni kwa wateja wa HALOTEL pekee

-Huduma ni kwa wateja wa malipo kabla waliowezesha kupiga na kupokea.

-Mteja anaweza kutumia huduma hii na aina yoyote ya simu.