Halo Safe

Ni huduma inayokuwezesha kulinda simu yako na taarifa binafsi katika simu yako ya mkononi.

Unaweza kujiunga na kupata taarifa Zaidi za huduma hii kwa kupitia SMS, USSD na WEB/WAP.

Tafadhari bofya hapa uweze kupata huduma hii http://halosafe.co.tz.

 

Jinsi ya kutumia huduma hii

-Unaweza kutumia huduma hii kwa Anti-Thefty kama vile,kuonyesha kifaa kilipo,kutoa mlio,kufunga/Block kifaa,kufuta taarifa binafsi na kurejesha taarifa.

-Kurejesha namba za simu, kurejesha taarifa za majina, kunakili majina kwenye aina mbalimbali za kifaa chenye muundo wa iOS, Android, Windows Phone.

-Jinsi ya kutumia program: kufunga na kufungua programu.

-Kutoa tahadhari: Kutoa alarm kwenye kifaa cha mteja chenye uwezo wa kupata taarifa za mtu (SMS majina, mahali)

-Kutumia inteneti kwa usalama.

-Kuondoa wadudu (virus) kwenye kifaa.

-Kusambaza ujuzi

 

Gharama ya huduma

Huduma hii ni BURE kwa wateja wa Halotel pekee.

 

Vigezo na Masharti

HALO SAFE ni huduma kwa wateja wa Halotel pekee waliopo kwenye malipo kabla na baada wenye uwezo wa kupika na kupokea simu.

Mteja wa HALOTEL anapaswa kujiunga na huduma na huduma ya data kuweza kutumia hudma ya hii.