Halo Saini

HALO SAINI ni huduma  inayokuwezesha kuweka maneno yenye Hisia au ya watu maarufu kama Saini yako pindi unapowapigia/wanapokupigia.

Jinsi ya kutumia huduma hii

 •  Kujiunga na huduma hii
 • Tuma neno  ON kwenda 15614 kwa ajili ya kufurushi cha Siku.
 • Tuma neno  ON30 kwenda 15614 kwa ajili ya kifurushi cha Mwezi.
 •  Kuweka sahihi yako: Tuma SIGN <Neno la sahihi> kwenda 15614

Umuhimu wa  huduma hii

 •  Inasaidia kuwashirikisha wanaokupigia mawazo yako.
 •  Inasaidia wanaokupigia kufahamu wewe ni nani kwakuweka saini kama jina lako.
 •  Inasaidia watumiaji kutangaza biashara zao.

Gharama ya huduma hii

 • Kifurushi cha siku: 30 Tsh/Siku
 • Kifurushi cha Wiki: 200 Tsh/Wiki
 • Kifurushi cha Mwezi: 400 Tsh/Mwezi
 • Kubadili/Kurekebisha sahihi: Ni bure na unaweza kubadili mara nyingi upendavyo.

Vigezo na Masharti

 •  Kwa maneno yasiyo na tija yamezuiliwa na mfumo.
 •  Maneno ya saini yasizidi  herufi160 pamoja na namba ya simu.