Halo Soka

Ni huduma inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kupata taarifa za mchezo wa mpira kutoka katika ligi mbalimbali ulimwenguni.

Usajili wa Huduma

-Tuma PL kwenda 15602

Faida za huduma:

- Huduma inatoa taarifa kuhusiana mambo yote ya mpira wa ligi mbalimbali ulimwenguni kama vile taarifa za moja kwa moja, matokeo ya mchezo, usajili, habari mpya za wachezaji na mameneja wao.

- Taarifa hizi huandaliwa na wataalamu waliobobea kutoka vyanzo vya kuaminika na kufikisha taarifa kwa wateja.

Gharama za huduma

-Gharama ya kifurushi cha siku ni Tsh.100/Siku.

Masharti ya Huduma

1.      Masharti ya Kutumia huduma

-Huduma ni kwa wateja wa HALOTEL pekee.

-Huduma inapatikana kwa wateja wa malipo kabla na baada waliwezeshwa kupiga na kupokea.

2.      Huduma inafaa kwa aina zote za simu ya mkononi.