Halo Win

Ni huduma mpya na yakuvutia kutoka halotel inayokupa nafasi nyingi za kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo za siku, wiki na Mwezi
Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii, alafu wanatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu badaa ya hapo watapokea namba ya bahati na kutakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma.
Mfumo utachezesha droo na kuchagua washindi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.


Faida za Huduma:

  • Huduma ya Halo Win ni huduma mpya ya kuvutia kwa Watanzania wote wa rika zote, na hutoa uzoefu mpya kwa wateja wote wa HALOTEL.
  • Mteja wa Halotel ana nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali kila siku/wiki au mwezi.
  • Huduma ya Halo win itaongeza ushindani katika soko.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku

Vigezo na masharti ya Huduma

-Huduma ni kwa watumiaji wa wa Halotel pekee

-Huduma ni kwa wateja wa malipo kabla waliowezeshwa kupiga na kupokea.

-Kujiunga na huduma , mteja lazima aweke vocha ya kukwangua kwenye akaunti yake.

  • Kipindi cha usajili wa huduma, mteja akiongeza atapokea namba ya Bahati na atatakiwa kuituma namba hiyo ya bahati kwenda 09 0122 004 ili kuingia katika droo.
  •  Mteja anaruhusiwa kununua na kutumia vocha zaidi ili kuongeza nafasi ya kushinda zawadi.