HaloGame

Ni huduma inayompa fursa mteja wa Halotel kucheza na kupakua gemu mbalimbali kwenye tovuti akiwa amejiunga na huduma ya Halogame. Unaweza kucheza na kupakua gemu kwa kupitia kiungo www.halogame.co.tz kisha kuchagua kifurushi cha huduma ukipendacho.

Jinsi ya Kutumia Huduma

Unaweza kupata huduma;

- Kupitia WAP

      Kiungo: www.halogame.co.tz kwa kujiunga na kusitisha kifurushi cha huduma.

- Kwa Ujumbe (SMS): kwa ajili ya kupokea taarifa ya ujumbe wa kufanikiwa au kutofanikiwa kwa usajili wa huduma pamoja na kusitisha kifurushi cha huduma.

Faida za Huduma

- Huduma inampa mteja fursa ya kufurahia na kuburudika kwa kupakua gemu mbalimbali kama vile mbio za magari, kupiga risasi, ngumi na matukio mbalimbali.

- Huduma inawawezesha watumiaji hata wasiokuwa na simu za mfumo wa Android, mfano IOS kucheza gemu mbalimbali mtandaoni.

Gharama za Huduma

-Kifurushi cha Siku

 -Gharama: Tsh.100/Siku

-Kifurushi cha Wiki:

-Gharama: Tsh 500/Wiki

-Kifurushi cha Mwezi:

-Gharama: Tsh.1000/Mwezi

Vigezo na Marsharti

-Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee wenye simu za smartphone.

-Mteja awe wa malipo kabla aliyewezeshwa kupiga na kupokea.

-Gemu zinaweza kuchezwa ukiwa mtandaoni kwa mfumo wa simu za IOS au Window.

-Mteja anaweza kupakua gemu kwenye simu iwapo ina mfumo wa android.