
MCA ni huduma inayomuwezesha mteja kufahamu na kupata taarifa za Simu zote alizozikosa pindi simu yake imezimwa au imekosa mtandao.
Mteja Unaweza kujiunga na huduma hii kupitia SMS,USSD na STK.
Jinsi ya kutumia huduma hii
Piga * 15579*1# Kujiunga au Tuma SMS na neno "ON" kwenda 15579
Piga *15579*0# kujiondoa AU tuma SMS “OFF” au “ONDOA” kwenda 15579
Piga *15579*2# kutaarifu AU tuma SMS “NT LIST” kwenda 15579
Piga *15579*10# AU*15579*11# kuona namba za waliokupigia AU tuma SMS “SMS NT LIST” kwenda 15579
Piga *15579# Msaada AU tuma SMS “H au HELP au MSAADA” kwenda 15579
Gharama ya huduma hii
Kujiunga na Huduma hii ni BURE
Promosheni Mwezi 1 Buree
Huduma hii itagharimu Tsh 150/Mwezi baada ya promosheni.
Vigezo na Masharti
MCA ni huduma kwa wateja wa Halotel pekee waliopo kwenye malipo Awali na Baada wenye uwezo wa kupiga na kupokea simu.