mDoctor

Ni huduma inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kupata taarifa za afya kwenye simu kulingana na orodha ya matatizo kama vile afya kiujumla,uzito, kujiweka sawa,mpangilio wa mlo na matatizo yatokanayo na hali ya hewa

Jinsi Ya Kutumia Huduma
-Kusajili Huduma. 
-Unaweza kusajili huduma kwa:
-Kupiga *149*62# kisha jaza taarifa zako.

Faida Za Huduma 
-Huduma inamsaidia mteja kupata taarifa sahihi zinazo husu afya
-Inatoa fursa ya kuboresha taarifa panapohitajika mfano uzito.
-Huduma inahusisha matatizo yote yanayohusu afya. 
-Huduma inapatikana muda wowote na popote.

Gharama Za Huduma
-Gharama za kujiunga:
-Kifurushi cha Siku: Tsh.150/Siku

Vigezo na Masharti

-Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee.

-Huduma inapatikana kwa watumiaji waliowezeshwa kupika na kupokea.