mKilimo

Ni huduma inayowapa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kupata taarifa mpya za zinazohusu kilimo kama vile masoko, usafiri wa mazao, pembejeo, hali ya hewa pamoja na utunzaji wa mazao kupitia simu zao.

JINSI YA KUTUMIA

-Mteja wa HALOTEL anatakiwa kupiga *149*50# kujiunga na huduma.

Faida za Huduma

-Huduma inamsaidia mteja kupata taarifa za pembejeo, soko la nazao yake ya biashara pamoja na usafiri wa mazao kwa njia rahisi na haraka.

-Huduma inampa nafasi mteja kujua hali ya hewa ya eneo husuka kutokana na utabiri unaotolewa moja kwa moja kinganjani mwako.

-Huwasaidia wakulima kupata fursa ya kuwasiliana na Wakala wa kilimo, wasafirishaji n.k

Gharama za Huduma

-Kujisajili Huduma: BURE
-Kupata mawasiliano ya Wafirishaji, Wakala wa Kilimo n.k ni Tsh 50/Siku.
-Kupata taarifa ya utabiri wa Hali ya hewa kwa Wiki: Tsh 100/Wiki.
-Kupata taarifa za utabiri wa Hali ya Hewa kwa Mwezi:Tsh 500/Mwezi

Vigezo na Masharti

-Huduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee.

-Mteja awe amewezeshwa kupiga na kupokea.

-Mteja wa Halotel anaweza kupokea ujumbe mmoja wa taarifa ya hali ya hewa

-Hakuna mwendelezo wa moja kwa moja wa huduma katika mfumo.