Simu Clip

Simu Clip

Ni huduma inayokufanya ufurahie  vipengele mbalimbali vya video mfano; vichekesho, Miziki, katuni,video za michezo na michezo ya maonesho.

Unaweza kupata video za kuburudisha mara kwa mara kwa kujiunga kupitia nija zifuatazo: SMS, USSD, STK, WAP au WEB na kuipitia code za huduma 15738

Jinsi ya kutumia huduma

 Unaweza kujiunga na huduma  ya Halo Clip kwa kufuata maelekezo yafutayo kwa wateja wote wa malipo kabla na baada walio wezeshwa kupiga na kupokea.

·         Kujiunga unaweza kutuma neno “ON au ON1” kwenda 15738 au piga    *15738*1# Kujiunga kifurushi CHA SIKU.

·         Kujiunga unaweza kutuma neno “ON au ON” kwenda 15738 au piga    *15738*1# Kujiunga kifurushi CHA WIKI

·         Kujiunga unaweza kutuma neno “ON au ON30” kwenda 15738 au piga    *15738*1# Kujiunga kifurushi CHA MWEZI.

Gharama za Huduma

Gharama za huduma hii ni 

.Tsh 180/Siku

.Tsh 900/Wiki

.Tsh 3000/Mwezi

.Kupakuwa na zawadi za video ni Tsh 300/Video

.Na utaweza kutazama video uzipendazo bure ukishajiunga

Vigezo na Masharti ya Huduma

-          Mtumiaji lazima uwe na salio la kutosha kwenye simu kurejesha kifushi.

-          Lazima awe mtumiaji wa HALOTEL.

Kwa maelezo zaidi, Tafadhali tuma sms yenye neno MSAADA kwenda 15738