Vifurushi Kimataifa
Vifurushi vya Sauti vya Kimataifa vya Halotel vinakuwezesha kubaki na mawasiliano na wapendwa wako walioko nje ya nchi kwa gharama nafuu.
Siku – USA, India, Canada, China
999Tsh
-
18 Mins to call USA, India, Canada, China within 24 hours
Siku – Vietnam
1,999Tsh
-
10 Mins to call Vietnam within 24 hours
Siku – Mozambique, Uganda, Rwanda
1,999Tsh
-
2 Mins to call Mozambique, Uganda, Rwanda within 24 hours
Siku – UAE, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon, Yemen, Pakistan
1,999Tsh
-
5 Mins to call UAE, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon, Yemen, Pakistan within 24 hours
Siku – South Africa, Australia, Thailand
1,999Tsh
-
6 Mins to call South Africa, Australia, Thailand within 24 hours
Siku – UK, Germany
1,999Tsh
-
5 Mins to call UK, Germany within 24 hours
Siku – Kenya
1,999Tsh
-
3 Mins to call Kenya within 24 hours
Siku – Oman
2,000Tsh
-
3 Mins to call Oman within 24 hours
Wiki – USA, India, Canada, China
4,999Tsh
-
90 Mins to call USA, India, Canada, China within 7 days
Wiki – Vietnam
4,999Tsh
-
25 Mins to call Vietnam within 7 days
Wiki – Mozambique, Uganda, Rwanda
4,999Tsh
-
5 Mins to call Mozambique, Uganda, Rwanda within 7 days
Wiki – UAE, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon, Yemen, Pakistan
4,999Tsh
-
9 Mins to call UAE, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon, Yemen, Pakistan within 7 days
Wiki – South Africa, Australia, Thailand
4,999Tsh
-
12 Mins to call South Africa, Australia, Thailand within 7 days
Wiki – UK, Germany
4,999Tsh
-
12 Mins to call UK, Germany within 7 days
Weekly – Kenya
4,999Tsh
-
8 Mins to call Kenya within 7 days
Wiki – Oman
5,000Tsh
-
8 Mins to call Oman within 7 days
Mwezi – USA, India, Canada, China
10,000Tsh
-
160 Mins to call USA, India, Canada, China within 30 days
Mwezi – Oman
10,000Tsh
-
17 Mins to call Oman within 30 days
Why choose Bundles by Halotel?
Vifurushi vya Hiyari Yako
Chagua kati ya vifurushi vya Data vya Kila Siku, Wiki, na Mwezi kulingana na mahitaji na bajeti yako.
Intaneti ya Kasi na Uhakika
Furahia intaneti ya kasi ya juu nchini Tanzania: peruzi, tazama video, cheza gemu, na tumia mitandao ya kijamii bila shida.
Pata Thamani Zaidi ya Pesa Yako
Pata data ya ziada, dakika za kupiga simu, SMS, na burudani tele kwenye kifurushi kimoja cha urahisi.
Washa kwa Urahisi Wakati Wowote
Nunua vifurushi kwa haraka kupitia App ya MyHalo, USSD, HaloPesa, au huduma za kuongeza salio muda wowote, mahali popote.
Huduma za kimataifa na Halotel
Pata kila kitu unachohitaji kwenye kifurushi kimoja cha urahisi kikijumuisha Data ya Simu, dakika za kupiga simu, na SMS. Vifurushi vya Halotel Combo vinatoa thamani bora zaidi kwa watumiaji wanaotaka mawasiliano yasiyo na kikwazo, burudani, na mawasiliano kwa gharama nafuu.
Offa Kabambe kwaajili yako
Pata Offa kabambe zinazoendana na maisha yako. Data zaidi, thamani zaidi, na vifurushi vya intaneti vya kazi, burudani, na mawasiliano ya kila siku.











