Namna ya kulipa
Lipa kwa HaloPesa App
Pata 5% Cashback- Fungua HaloPesa App
- Chagua HaloFiber
- Weka ya akauti (tarakimu 10)
- Weka kiasi cha kifurushi
- Thibitisha malipo
Au
Kulipia kwa USSD
Piga
*150*88#
- Chagua 4 – Lipa Bili
- Chagua6 – Huduma za Halotel
- Chagua 1 – Lipia HaloFiber
- Weka namba ya akaunti (tarakimu 10)
- Bonyeza 0 hadi uone malipo yako
- Chagua namba ya malipo
- Weka namba ya siri
- Thititisha kwa kuchagua 1











